Jengo la Bunge la Kenya huko Nairobi tarehe 25 Juni 2024, lilivamiwa na maelfu ya waandamanaji kwa kupinga kupitishwa kwa Mswada wa Fedha wa Kenya wa 2024.[1] Hatua hii ilikuwa sehemu ya maandamano makubwa dhidi ya Mswada wa Fedha wa Kenya. Ghasia ziliongezeka wakati waandamanaji walipowasha moto sehemu ya jengo hilo. Watu kumi na tisa walifariki dunia katika maandamano hayo mjini Nairobi wakati polisi walipojibu kwa kuwapiga risasi waandamanaji. Rais William Ruto alikataa kusaini mswada huo siku iliyofuata.[2]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search